DAWASA yatoa tahadhari upungufu wa maji Dar es Salaam na Pwani

unapenda sna kukuza mambo
 
Miaka 60+ bado serikali ya ccm inategemea maji ya ruvu kuendesha nchi!!? ee baba walinde viumbe wako watakao simamia haki 9 desemba.
 
Hawa watu walisharudishwa kwenye uzembe na kutokuwajibika. Yaani, mtu anajiamulia tu.. mara litakuja tatizo la umeme tena. Samia ameshindwa kutumbua hawa watu wamerudi kwenye mazoea na yeye keshazoeana nao.
 
Magufuli kafa na kuzikwa na neema zake.

Walisema wanajenga dam kuukinga mto kuhifadhi maji.

Tangia wakati ule hadi sasa kimyaaa!

chanzo sio mto ruvu chanzo ni ujinga!
mwanza wana lake victoria mpaka jijini unashuka feli unaingia katikati ya mji,
lakini nao wana mgao wa maji

huoni kua mnaongozwa na akili mgando hapo
Hiyo ya mwanza ni aibu kubwa, matokeo ya kuongozwa na akili ndogo
 
Ni wapuuzi sana.
 
Kila mwaka shida ni mto Ruvu, kila mwaka case ni hiyo..
Hakuna mtu wakufikiri solution nyingine kuacha na kutegemea mto Ruvu miaka na miaka?
Solution ipo, wanajitia ukichaa. Wamechimba visima Kigamboni (Kimbiji) na vinatoa maji mengi sana na matank wamejenga makubwa ila hawataki kuunganisha na system ya maji.

Kutegemea source moja (Ruvu) ni ukichaa.
 
Zaidi ya miaka 60 ya uhuru hata maji tu yamewashnda seriously wkt huohuo tz ni moja ya nchi dunian zenye maji safi ya kutosha kbs ajabu hapa misungwi usagara ziwa victory ninaliona kbs lakn tuna shda ya maji, ccm mnalitakia nn taifa letu na mnalazmisha kutawala kwa mabavu mnataka nn nyie wkt huohuo kule walipojenga mitambo ya umeme ya nyerere maji ya kutosha mpk wakayaachilia yakatokea mafuriko kwa raia je wanashndwa weka mitambo uko ya kuchakata maji ksha kusambaza kwa raia MUNGU wangu ccm ni laana kwa taifa hili.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemsikia ametoa agizo kwa NUWA(Shirika la maji nchini kwa watoto wa elfu 2 NUWA ni National Urban Water Authority ndiyo ikavunjwa na kuwa na kila mkoa na idara yake eg Dar -DAWASCO /DAWASA ,Iringa IRUWASA ,Musoma MUWASA).

Agizo ni kwamba RUVU imeshakuwa kwenye normal level hivyo wawashe mitambo yote na kusitisha Mgao...Tunatarajia mgao kuisha ,sasa tunatoa siku 2 za kujipanga ,kukiendelea MGAO msije mkasema siyo wazalendo maana viongozi buana wa serikali wanapenda Kupushiwa sana ndiyo wafanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…