DAWASA yawapa uhakika wa huduma ya Maji wakazi wa Bonyokwa na Kisukuru

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Your browser is not able to display this video.

Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo.

Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji maji katika maeneo ya Bonyokwa kwa Kichwa, Kwa Dani Mrwanda, Shedafa, Macedonia, mnara wa voda, Chuo cha Masanja, Bonyokwa Kisiwani, JKT B, Msikiti wa Kijani, Mwisho wa Rami, Viwanja vya JKT na baadhi yatanufaika katika kata ya Kisukulu
 
Hawa iko siku watapopolewa na mawe

Ova
 
👊💪habari njema sana hii ya motro, halafu sasa kazi nzuri mno🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…