kaka kikatiba
Member
- Oct 15, 2014
- 8
- 4
DAWASCO zamani, siku hizi DAWASA.Naombeni tofauti ya DAWASCO na DAWASA
Hapo kuna mawili ama matatu kwa uzoefu wangu:Nimekua nikipata tatizo la bili ya maji kuongezeka sana kias kwamba ninapata waswas maana tangu nibadilishiwe mita iliyokua imefubaa haisomeki vzur,sahiz bili ya maji inakuja kubwa mpaka natamani irudishwe ya awali!
Kama kuna mtu ana uelewa anijuze hizi mita zina utofauti upi isije kuwa nimefungiwa ya matumiz ya kiwanda!
Wewe lipa bill banaNimekua nikipata tatizo la bili ya maji kuongezeka sana kias kwamba ninapata waswas maana tangu nibadilishiwe mita iliyokua imefubaa haisomeki vzur,sahiz bili ya maji inakuja kubwa mpaka natamani irudishwe ya awali!
Kama kuna mtu ana uelewa anijuze hizi mita zina utofauti upi isije kuwa nimefungiwa ya matumiz ya kiwanda!