Dawasco Kibaha Maili Moja, maji hakuna mwezi. Wanasema mpigie Aweso

Dawasco Kibaha Maili Moja, maji hakuna mwezi. Wanasema mpigie Aweso

Quaty

Member
Joined
Oct 12, 2022
Posts
46
Reaction score
146
Tuna mwezi wakazi wa Mwanarugali hatujapata maji, hakuna majibu mazuri kutoka DAWASCO, wanasema tumpigoe aweso.

Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
 
tuna mwez wakazi wa mwanarugali atujapata maji, hakuna majibu mazur kutoka dawasco, wanasema tumpigoe aweso. Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
Huyo Aweso ana kazi ya kuongeza wake na Watoto hadi anachorwa tatoo... mswahili ni mtu wa hovyo sana!
 
Mkuu sisi huku mtaa wa Ungindoni maji bwelelee hadi tunashangaa kusikia Kuna wenzetu ktk mji huuhuu mmoja hawana hiyo huduma mwezi mzima. Huu ni ubaguzi wa makazi, kamwe usikubaliwe.
 
Back
Top Bottom