tuna mwez wakazi wa mwanarugali atujapata maji, hakuna majibu mazur kutoka dawasco, wanasema tumpigoe aweso. Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
Mkuu sisi huku mtaa wa Ungindoni maji bwelelee hadi tunashangaa kusikia Kuna wenzetu ktk mji huuhuu mmoja hawana hiyo huduma mwezi mzima. Huu ni ubaguzi wa makazi, kamwe usikubaliwe.