DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

KIMARA BRIDGE

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
262
Reaction score
270
Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee?

Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee, bull crap.

Sasa kama maji yasipotoka usiku huu, leteni jeshi Kimara mwisho. Na wewe Aweso, ni kima tu, endelea kupanda VXR yetu, one day you will regret.
 
kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nneeeeeeeeee????????? na hamtoi taarifa yeyote hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchiiiiii au mnataka tutanguilie mbinguniiiiii. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee bull crap. sasa kama maji yasipotoka usiku huu , leteni jeshi kimara mwisho. na wewe aweso ni kima tuu endelea kupanda vxr yetu one day u will regret.
Muandamane kwa ghasia ndio yatatoka maana waziri Aweso Bungeni anaulizwa tu eti ataoa mke wa nne lini wamtafutie maana maji ni kila kona

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanajiona kama there are next to God wakati wanatafuna kodi zetu na they are not apperciate sisi walipa kodi na wana lugha ya et mamaaaaa katoa bbb kadhaa na siyo kwa hisani ya walipa kodi wa TANZANIA.
 
Back
Top Bottom