DAWASCO wanakwamisha ilani

DAWASCO wanakwamisha ilani

Mambo mengine ya kitaalamu hayahiyaji siasa boss
Mtadanganywa mambo ya kitaalamu mpaka mnazeeka
Mbona huko duniani hawakosi maji na nchi zingine zina ukame lakini huduma zipo ila kwa hapa tanzania ambapo misitu kibao ma maziwa bado mnasubili mambo ya kitaalam
 
DAWASCO wanakwamisha utekelezaji wa ilani kwa kutokusambaza maji kwa kila Kaya kabla ya 2025.
Pia, wanafurahia mgao wa maji, haiwezekani jiji la Dar es Salaam likose maji kwa siku7 mfululizo na CEO bado anachekelea kwenye V8, full kiyoyozi.
**** Na OPRAS anajaza kila Quarter.
NB: Enzi za Mwamba huyo boss angekua ashatumbulia akisubiri matokeo ya tume akiwa mtaani, kachakaa
Huyo mwamba wenu mbona hakuweza kuyashinda mahuti,acheni kumpaisha binadamu Kama nyinyi,

Matahira wakubwa,

Acheni Rais apige kazi msimpangie
 
Back
Top Bottom