Dawati la jinsia na watoto kuwekwa polisi ni bure tu bora liende ustawi wa jamii

Dawati la jinsia na watoto kuwekwa polisi ni bure tu bora liende ustawi wa jamii

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Polisi ni polisi tu hawezi kutenda haki kwa mwaume akamwacha mwanake.

Wanaume wengi wanapopeleka malalamiko kwenye dawati hilo polisi wao huwakumbatia wanawake na watoto hara kama mwanamke ndiyo tatizo.

Hali hii imepekea wanaume wengi kupoteza mali zao au kuhama na kwenda kuanza upya huku akiwaacha watoto wakihangaika.
Ni maoni yangu hili dawati lifutwe au luondolewe polisi hakuna tija yoyote zaidi ya dhuluma kwa wanaume.
 
Natamani lifutwe usiku huu maana siku sio nyingi napelekwa huko bora tulikose
 
Mnawapenda ustawi mnaowapa rushwa halafu wanawaambia wanawake
Eti “mtoto ni wa mwanamke kwa hiyo mwanamke apambane nae”

Polisi kamatien hapohapo.
 
Back
Top Bottom