DAX (Rapper)

DAX (Rapper)

Tychob

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
3,972
Reaction score
5,170
Huko Ottawa nchini Canada mnamo 22/03/1994 alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Daniel Nwosu Jr.

Namzungumzia jamàa anaye fahamika Kama DAX kwa jina la kisanii.

Utajiuliza kwanini nimeamua kumfungulia huu uzi huyu jamàa.Ni rapper mmoja mkali saana ( kwa upande wangu, ). Ukimskiliza unapata hisia za Mkongwe Eminem au ukijiuliza vizuri unaweza fikiri huyu ni version ya 2PAC.

Jamàa inavovyosemekana wakati anakua alikuwa hapendi rap, yeye alikuwa anapenda saana mchezo wa basketball( sijui Nini kilitokea akageukia rap ukubwani).

Watu tumemfahamu saana kwenye wimbo wa ~Dear God~

 
true aisee jamaa aliachia ep ya book of revolution, hatari tupu,msikilize kwenye Godzilla remix ya Eminem ni hatari
 
Jamaa anaweza sana ukisikiliza Dear God, My heart hurt, I need A break, Godzilla remix, Though that was my last word, Book of revelation, Self proclaimed na zingine nyingi utapara kuona jamaa kuwa anafahamu anachofanya.
 
Kuna ile intro ya I'll say it for you aliiachia kipande chake kina dakika moja natamani aje aimalizie nimekikubali sana
Hahahaha nawewe kumbe unatamanigi kama mimi ile iwe full!?,,sema ana'sound kama Joyner kwa mbali ivi,,Kama YG anavo'soundigi kama Marehemu Chinks
 
Hahahaha nawewe kumbe unatamanigi kama mimi ile iwe full!?,,sema ana'sound kama Joyner kwa mbali ivi,,Kama YG anavo'soundigi kama Marehemu Chinks
Aah wapi joyner na dax kwenye issue ya sauti mbona ni irrelevant kabisa mzee?

Nasubiri hicho kipande amalizie maana intro yake kapiga kwa emotion sana
 
Back
Top Bottom