DAX (Rapper)

DAX (Rapper)

Rihanna si anamuigaga Sia kuimba,,pia Sia kahusika kuchora ngoma nyingi za Bad girl riri kama Diamond kaichora yeye(Sia)
Hata kwenye background music ya movies sia kashiriki sana. Pia sia ni writter lakini rihana sidhani

Inshort Sia ni legendary
 
Sure mkuu bila kuhamia kule una struggle saana japo siyo kuwa huwezi tusua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali mkuu.

Nadhani wanatusua ki Canada Canada as local artistes. Ila Ukitusua USA automatically unakuwa Worldwide.

Speaking about Dax sijamsikiliza sana ila nimesikia ngoma yake moja tu. Ile amebeba msalaba jina nimelisahau. Ni ngoma kali, ngoja nimtafute YouTube nione maajabu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom