Jamaa anajua kuandika na anaflow nzuri saana.Joker isha hit 2+milion saizi within 1 week
Book of revelation ni nyimbo kali saana.Jamaa anaweza sana ukisikiliza Dear God, My heart hurt, I need A break, Godzilla remix, Though that was my last word, Book of revelation, Self proclaimed na zingine nyingi utapara kuona jamaa kuwa anafahamu anachofanya.
Kuna ile intro ya I'll say it for you aliiachia kipande chake kina dakika moja natamani aje aimalizie nimekikubali sana
Joker isha hit 2+milion saizi within 1 week
Tory alichanwa kwenye I'm not JoynerJamaa kuna siku alitaitishwa na Tory Lanez akawa mdogo kama piriton
HIMSELF...huyu mchizi akinyoa upara 2pac huyu hapa kwa mbaaali...
Alichanwa vibaya sana Tory badala ya kujibu ngoma akamvzia kitaa na wauniTory alichanwa kwenye I'm not Joyner
Kuna dogo mmoja tu ansitwa chvse ndo nilimuona aki respond diss ya dax "wack ass rapper"Alichanwa vibaya sana Tory badala ya kujibu ngoma akamvzia kitaa na wauni
Hahahaha nawewe kumbe unatamanigi kama mimi ile iwe full!?,,sema ana'sound kama Joyner kwa mbali ivi,,Kama YG anavo'soundigi kama Marehemu ChinksKuna ile intro ya I'll say it for you aliiachia kipande chake kina dakika moja natamani aje aimalizie nimekikubali sana
Aah wapi joyner na dax kwenye issue ya sauti mbona ni irrelevant kabisa mzee?Hahahaha nawewe kumbe unatamanigi kama mimi ile iwe full!?,,sema ana'sound kama Joyner kwa mbali ivi,,Kama YG anavo'soundigi kama Marehemu Chinks
Bas maskio yangu yatakua na shida kwenye ku'sound the same apoAah wapi joyner na dax kwenye issue ya sauti mbona ni irrelevant kabisa mzee?
Nasubiri hicho kipande amalizie maana intro yake kapiga kwa emotion sana
Wasanii ambao numiza kichwa kuwatofautisha sauti ni rihhana na siaBas maskio yangu yatakua na shida kwenye ku'sound the same apo