figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sio kwenye maandamano. Yaani wanaenda sehemu isiyo na maandamano kuua watu. Yaani si swala la maandamano. Wwqnakuja uraiani kuua..Ukiwaona hao waiteni JWTZ.
JWTZ wanawasaka sana kuqashughulikia hao wahuni
Hii iwe trend tumesha kishtukia inapaswa kusambazwe taarifa zake haraka sisi tumalizane naoKundi Hilo limeletwa tz siku nyingi tokea ijumaa
Na cha kushangaza kimeua watanzania huku JwTz wakiwa wanaangalia tu
Britanicca
Wanaenda kwenye maandamano na pia sehemu zingine. Nia yao ni kuleta uoga watu wasitoke.Sio kwenye maandamano. Yaani wanaenda sehemu isiyo na maandamano kuua watu. Yaani si swala la maandamano. Wwqnakuja uraiani kuua..
Huyu atakuwa Mafwele na kikundi chakeKuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano
Wanatumia pikipiki, Bajaji, Magaari madpgo kama IST nk.
Wanakuja kwako wanapiga risasi. Au risasi inapita dirishani. Hata wakikukuta dukani wanakupiga risasi.
Mara nyingi wanatumia code ya rangi nyeupe.. Yaani anaweza kuwa amevaa nguo nyeusi lakini cofia nyeupe, au anavaa kitu cheupe mkononi kama bangiri.
Si Jeshi la polisi
Wameua Kimara, Bunju, Goba, Manzese...
Tusaidiane kuwawinda. Dawa ya moto ni moto
Je, hao wanaolengwa kuuliwa wana sifa zipi zinazowaweka kwenye kundi la kuwindwa?Sio kwenye maandamano. Yaani wanaenda sehemu isiyo na maandamano kuua watu. Yaani si swala la maandamano. Wwqnakuja uraiani kuua..
Hawana sifa yoyote. Inadaiwa wanaua ili kutisha watu wasitoke ndani. Sababu wakikukuta hata unaongea na simu nje ya nyumba tako wanakutwanga risasi. Nia kutia watu uoga wasitoke ndani. Hata msemaji wa Serikali aliagiza watu wafanyie kazi nyumbani. Je, alijua kuhusu hawa watu? Wameua watu wengi.Je, hao wanaolengwa kuuliwa wana sifa zipi zinazowaweka kwenye kundi la kuwindwa?
Ni wanasiasa wa upinzani; au ni watu wa aina gani?
Kundi Hilo limeletwa tz siku nyingi tokea ijumaa
Na cha kushangaza kimeua watanzania huku JwTz wakiwa wanaangalia tu
Britanicca
Zipo pia taarifa kwamba wahalifu na majambazi wengi wameona huu ndo muda muafaka wa kufanya uhalifu wa kuua na kupora mali.
Huu ni muda ambao walikuwa wakiusubiri kwa hamu kubwa na ni kama wamepewa zawadi.
Nchi ipo kwenye hatari na cha kusikitisha ni kwamba watanzania hawa wanaua watanzania wenzao.
Hawana sifa yoyote. Inadaiwa wanaua ili kutisha watu wasitoke ndani. Sababu wakikukuta hata unaongea na simu nje ya nyumba tako wanakutwanga risasi. Nia kutia watu uoga wasitoke ndani. Hata msemaji wa Serikali aliagiza watu wafanyie kazi nyumbani. Je, alijua kuhusu hawa watu? Wameua watu wengi.
Wanaokufa wengi ni mtaani kuliko walio kwenye maandamano
Dah,Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano
Hicho kitu kinauma sana sanaa...nilikua siogopi risasi...wanatushambulia risasi tukiwa armless.Kundi Hilo limeletwa tz siku nyingi tokea ijumaa
Na cha kushangaza kimeua watanzania huku JwTz wakiwa wanaangalia tu
Britanicca