Day 364 of 365 - utamu na uchungu zote ni sehemu za maisha - njoo tuzogoe 🙃

Day 364 of 365 - utamu na uchungu zote ni sehemu za maisha - njoo tuzogoe 🙃

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Nashukuru JF kwa kuwa moja ya sehemu za kuongeza furaha, kunipa raha na kupunguza maumivu kwa mwaka huu.

2025 ulikuwa mwaka mgumu kwa wengi wetu; asanteni kwa tabasamu, mafunzo, elimu, vituko, mawazo, ukosoaji na aina zote za michango.

Kwa niliowakosea au kuwakwaza - mnisamehe, haikua dhamira yangu.

Haya tuzogoe:


  1. Kitu gani kimekufurahisha zaidi huu mwaka au utamu gani umeenjoy zaidi kuupata?

  2. Jambo au mambo gani yamekusikitisha, kukuvunja moyo au kukupa machungu zaidi huu mwaka?

  3. Unajivunia zaidi kitu au vitu gani kwa mwaka 2025?

  4. Nyuzi gani niliyoandika imekufurahisha au kukukwaza kwa mwaka 2025?

  5. Uliza swali lolote ambalo hutaki kuvuka nalo 2026, tutakujibu.

  6. 
Nini umejifunza mwaka huu?
Moja ya mambo ya uchungu ambayo nimejifunza ni kwamba mwanamke ukifikia menopause, sehemu yako ya nje ya papuchi (mashavu na vinyama vya pembeni / labia) zinaweza kupotea ukabaki flat kabisa sababu ya kushuka kwa estrogen. Dunia na nature ni katili sana, uchungu tunaoupitia hauishii kwenye kuzaa tu.

Moja ya mambo ya utamu niliyojifunza ni kutoka kwenye ule uzi wa miguno kwamba, siko peke yangu ambaye napenda kusikia sauti ya mwanaume ananichombeza akiwa ananikula au akiwa anamwaga. Yani uwe umenilaza, mguu mmoja umeunyanyua unaichapa ile haraka haraka halafu unanisindikiza na “mmmh eenhe mpenzi, nakufanya nini then unigeuze upande upande, ushike taukoor, uniingizie ukuni taratibu, nikulilie kwa sauti, upitishe mkono shingoni, unikabe kidogo halafu unichape tena huku unaniongelea sikioni, uhamishe mkono kifuani kwenye dodo, ulipekeche, uzidishe spidi mpaka nikurushie, aloooooohhhh!!

2025-2026.jpg


Mbarikiwe wote, Alamsiki!
 
Huu mwaka pumbavu zake uishe tu numepoteza ela sana huu mwaka,nimeachwa tena mchana kweupe,ajali 3 kuna waliovuta ila nilipona sijui hata nimeponaje ponaje, mwisho kabisa ila sio kwa umuhim nimetimiza ndoto ya kumla mchina 😂
 
Kilichonisikitisha mwaka huu ni kufukua mboji za machawa wa sisiem kwa maana haikuwa lengo langu na pia si jambo zuri.
pia mwaka huu kilichonisikitisha sana ni wadau wengi humu kupinga nyeto na bangi

Kilichonifurahisha ni kushtukiwa na kuumbuliwa kwa doctor manyaunyau ambaye alitaka kuwatapeli wana JF.
 
Hawajui mapenzi wanasauti nyembamba wanatoa kwenye mzagamuo hawana pulling kama hawa mazombi yetu hii ngozi nyeusi ni kazi kazi ila hizi pipo nyingine nizakula kuweka historia maishani
Kutembea na mchina mmoja ndo umeconclude hivi?😂
Ni kweli maumbile yao ni mafupi ukiingiza yote inatokea mdomoni?
 
2025 umekuwa mwaka mzuri sana kwangu kibinfsi na kijamii kwangu japo kitaifa na kisiasa haita kaa isahaulike ile octoba.

Kumbukumbu ni mwaka ule wa 2000 kipindi kama hiki tunaambiwa milango ya mitakatifu ya kanisa inafungwa baada ya kukamilika mwaka wa jublee wa 2000 na utafunguliwa tena mwaka wa 2025.

Tulijiuliza vipi tutafika hio 2025, kama ilivyo sasa tumeufunga kwaka wa jubilee wa 2025 hadi 2050 itakapo funguliwa tena ila hapo 2033 tutakuwa na jubilee maalumu ya miaka 2033 tokea kuzaliwa kristo ,maisha na mateso kufa na kufufuka kwake pamaja na kupaa kwake kwenda mbingini.


Mwaka ule pia wa 2000 serikali ilipitisha dira ya taifa ya mwaka wa 2000-2025.
Kwa hio mwaka huu imenikumbusha ilivyo kuwa , japo nilikuwa mdogo darasa la tano ila nilikua mfuatiliaji Sana wa siasa kanisa na jamii.

Kwa ufupi ni mwaka mzuri sana japo ulikua mgumu sana.
 
Back
Top Bottom