Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Naona mkuu umekuja rasmi kusimamia show kwenye forums zikizofungwa na serikali ili zisiwe hewani .Mama yake nani? Hapo ndiyo mnapoingiza watu Mkenge unapomzungumzia Samia Suluhu Hassan, unamzungumzia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu. Ana instruments of power, na Urais ni Taasisi siyo mtu mmoja. Endeleeni kupotosha watu.
Karibu.