Day 5: Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

Mama yake nani? Hapo ndiyo mnapoingiza watu Mkenge unapomzungumzia Samia Suluhu Hassan, unamzungumzia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu. Ana instruments of power, na Urais ni Taasisi siyo mtu mmoja. Endeleeni kupotosha watu.
Naona mkuu umekuja rasmi kusimamia show kwenye forums zikizofungwa na serikali ili zisiwe hewani .

Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…