PUMBAVUHongera jeshi la polisi kudhibiti wahalifu!
Hapana, huyo aliyerekodi yuko kwenye risk sana...Unaishi hapo nini? Manake nimeona unatafuta jinsi ya kufuta messages…
Usiogope.
Hapana, huyo aliyerekodi yuko kwenye risk sana...
Hiyo picha ina information nyingi sanaRisk ya nini? Labda ni Mwandishi wa habari? Na mleta mada kataka kutujuza doria inavyoendelea Dsm.
It's too late!Moderator naomba mfute huu uzi haraka sana kwa sasa una hatarisha maisha ya watu wanaokaa huo mtaa, Tafadhali fanyeni haraka kabla hizi video hazijasambaa
Watanzania, mtu anatutaarifu, kwa hiyo hata mauaji wanayofanya, inabidi yafanyike kimyakimya, ndio maana yako,Hiyo picha ina information nyingi sana