Day Trip Iringa

Habari wakuu.
Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini.

Ninatanguliza shukrani.

Glenn
Nenda Sao hili ukapigwe baridi la miti ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Good, barabara ni changarawe au lami?
Rami mwanzo mwisho. Tatizo zimekaa opposite direction.

Kwa lugha nyepesi kwenda Kalenga kutokea mjini, unarudi tena mjini ndio uende Isimila.

Kwa single day hauwezi. Ukiwa na private car, Isimila kuna 5 km nje ya rami (Mbeya Rd).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ