Day Trip Iringa

Bro Hizo sehemu sio rafiki kwangu.
Mount royal, sunset ndio nspenda nikiwa huru
Unajua sana kuulizia mambo yetu....unapita mbaaali ila watakupa muongozo tu.
 
Unajua sana kuulizia mambo yetu....unapita mbaaali ila watakupa muongozo tu.
Mzee mwenzangu toa muingozo mkuu🤣🤣
Karibu Iringa life bomba kabisa
 
2. Tembelea jiwe la Gangironga. Ni view utaona almost mji wote wa Iringa.
Hii Unaingilia Wapi?
Hapa Njia Ya Kupanda Ikulu Ama
ukitoka Ruco University Kama Unatokea Mjini Kulia
 
Kama upo na pochi lako sawa, maana hiyo mitaa saa 1 tu unabakia mwenyewe.
Mkuu ni kweli watu sio wengi pale lkn sio haba.
Iringa sehemu nzuri ni chache sana
 
Unaeza enda sehemu moya wanaita kihesa kilolo, kuna swing/slide ya kamba toka upande mmoja hadi mwingine. Kabembee mkuu [emoji3][emoji3].

Pia usisahau kupata ulanzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MKoa huu wakiingia wachaga wenyeji watalia sana, ni washamba sana kibiashara, ukiuliza vitu wanajibu kwa ukali kama wanadaiwa vikoba[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…