Day Trip Iringa

Day Trip Iringa

Magic site mtwivila( zoo),

Isimila stone age

Ruaha national park,

Mtera dem,

Asas runch

Hall day inn frelimo (local and cheap bitchs)local brothel

Miami',lock down, and vIP club( for drinks,wine,cocktail, night clubs and mid- class bitch)

Mount royal,gentle hill,elexander hotel (for hotels ,foods and soft drinks)

Nb:kiwango cha maambukizi mapya ya HIV/AIDS ni kiasi kidogo sana Iringa mjini
 
20240602_161542.jpg

Gangilonga
 
Image,Kalenga,Isimila na Nduli.
NB;Nimepakumbuka sana Iringa. Nilikuwa nakunywa msabe,ulanzi na kimpumu pale kilabu cha Wipinye au Mahaba Niue.
Hiyo msabe ndiyo naisikia leo. Ila kimpumu na ulanzi nimekunywa. Ila nilikuwa sipendi mkangafu. Kimpumu nilikunywa ile ya kuweka mirija.
 
Magic site mtwivila( zoo),

Isimila stone age

Ruaha national park,

Mtera dem,

Asas runch

Hall day inn frelimo (local and cheap bitchs)local brothel

Miami',lock down, and vIP club( for drinks,wine,cocktail, night clubs and mid- class bitch)

Mount royal,gentle hill,elexander hotel (for hotels ,foods and soft drinks)

Nb:kiwango cha maambukizi mapya ya HIV/AIDS ni kiasi kidogo sana Iringa mjini
Nusu ya hizi sehemu nimetembelea...Mount royal is the best hapa Iringa
 
Nilienda June pale Miami nikafungua dirisha kaunta pale ghorofani jamaa walinimind sana na kuanza kunilaumu Mimi nimezoea baridi labda nimetokea mufindi au mafinga huko ndiyo maana siogopi lile baridi. Tuligombana sana na wadau kwasababu wao wanajifungia lkn ukumbi unakosa hewa
Sasa si ungetoka nje masta? 😂😂😂
 
Baridi hiyo inaisha na fresh milk,na mazoezi kidogo tuu
Tulienda Njombe kwa mshikaji wetu miezi mibaya. Mama ake akatuandalia maziwa. Ila alikataa tujimiminie wenyewe kutoka kwenye chupa. Alikua anatupoozea kama watoto.

Nikaja elewa baadae sana.
 
Back
Top Bottom