Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hv umeacha? Na kwa niniHabari, mimi nilishafanya day care ambayo watoto walikua ni miaka 3 - 5. Walikua wanajifunza pia masomo yakuwaandaa kuingia darasa la kwanza.
Ni biashara nzuri, kama eneo ni lako, unaweza anza taratibu hata na io 1.5
Nunua magodoro machache, mashuka yako mepesi ili yawe yanafuliwa kla siku, ubao, meza za plastic na viti , michezo ya watoto, ka TV kadogo kwaajili ya mda wa ku refresh unawaekea cartoon.
Anza na mwalimu 1 na mdada wa usafi mmoja, kadri watoto watakavyoongezeka na kulipa ada ndio utaongeza vifaa.
Ila kama una capital kubwa pia ni vizuri zaidi ku go big.
Mwenye nyumba alitaka sehemu yake, sema mwalimu niliyekuwa nae ngoja nikupe namba zake 0656120320 au 0786865216 Madam Eva yupo vizuri sana na watotoSasa hv umeacha? Na kwa nini
Asante. Ila waalimu najua tutawapata maana inategemea na maeneo. Kwanza niweke mazingira vzr kwanza maana ndipo panapogombaMwenye nyumba alitaka sehemu yake, sema mwalimu niliyekuwa nae ngoja nikupe namba zake 0656120320 au 0786865216 Madam Eva yupo vizuri sana na watoto
Kama una eneo lenye sifa ya kusajili day care fanya hivyo Ila mie sikua nausajiri kwa sababu Kuna vigezo sikukamilisha vya daycare ikabidi nitumie children learning center mpk Leo ipo hivyo mwaka wa name huu though ndo nataka kusajili sasa.Habari ya uzima... Naomba unijuze kwa ufupi kama hutojari, UKIFUNGUA "CHILDREN LEARNING CENTER" hakuna usajili wowote utakaofanyika...? Mimi natarajia kufungua DayCare ila hili wazo lako nimelipenda. Naomba msaada wa mawazo please kuhusu hilo... Nijibu kwa namna yoyote itayokupendeza hata kwa email fffadhili@gmail.com
Kama unataka kufanya kitu alafu una mawazo kama haya hutafanikiwa!Biashara yoyote ya kukusanya watu sehemu moja, ina risk kubwa; kwa sababu binadamu anachangamoto nyingi za kiafya, ikitokea siku mmojawapo akazima/ kukata network akiwa kwako.....hutotamani hii biashara.
Duuuh,kwa mawazo haya umetisha sana mzeeBiashara yoyote ya kukusanya watu sehemu moja, ina risk kubwa; kwa sababu binadamu anachangamoto nyingi za kiafya, ikitokea siku mmojawapo akazima/ kukata network akiwa kwako.....hutotamani hii biashara.
Kweli mkuu, bora uanishe mapema risk, ili atakama ikitokea ujue utachukua maamuzi gani. Njia sahihi ni kufuata miongozo yote ya usajili na uendeshaji wa hii biashara, ili likitokea ujue pa kutokea.Kama unataka kufanya kitu alafu una mawazo kama haya hutafanikiwa!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Haya mambo yakitokea, huwa yanavuruga vichwa; hasa pale mzazi asipoelewa kilichotokea.Duuuh,kwa mawazo haya umetisha sana mzee
Ila kweliHaya mambo yakitokea, huwa yanavuruga vichwa; hasa pale mzazi asipoelewa kilichotokea.
Hivi sifa za eneo zipoje?Kama una eneo lenye sifa ya kusajili day care fanya hivyo Ila mie sikua nausajiri kwa sababu Kuna vigezo sikukamilisha vya daycare ikabidi nitumie children learning center mpk Leo ipo hivyo mwaka wa name huu though ndo nataka kusajili sasa.
Mbona mko kukatishana tamaa aisee, huwezi kumweleza kiungwana akaelewa? Sometime hata humu JF kuna nyie wa wachawi aisee!!!Watu wanasomea hayo, umesomea na una vyeti?
Gharama zakusajili Children Learning Center na Daycare ni bei gani wanachajiKama una eneo lenye sifa ya kusajili day care fanya hivyo Ila mie sikua nausajiri kwa sababu Kuna vigezo sikukamilisha vya daycare ikabidi nitumie children learning center mpk Leo ipo hivyo mwaka wa name huu though ndo nataka kusajili sasa.