Daycare centre, hazina iliyojificha

Habari, mimi nilishafanya day care ambayo watoto walikua ni miaka 3 - 5. Walikua wanajifunza pia masomo yakuwaandaa kuingia darasa la kwanza.
Ni biashara nzuri, kama eneo ni lako, unaweza anza taratibu hata na io 1.5
Nunua magodoro machache, mashuka yako mepesi ili yawe yanafuliwa kla siku, ubao, meza za plastic na viti , michezo ya watoto, ka TV kadogo kwaajili ya mda wa ku refresh unawaekea cartoon.
Anza na mwalimu 1 na mdada wa usafi mmoja, kadri watoto watakavyoongezeka na kulipa ada ndio utaongeza vifaa.

Ila kama una capital kubwa pia ni vizuri zaidi ku go big.
 
Sasa hv umeacha? Na kwa nini
 
Mwenye nyumba alitaka sehemu yake, sema mwalimu niliyekuwa nae ngoja nikupe namba zake 0656120320 au 0786865216 Madam Eva yupo vizuri sana na watoto
Asante. Ila waalimu najua tutawapata maana inategemea na maeneo. Kwanza niweke mazingira vzr kwanza maana ndipo panapogomba
 
Kama una eneo lenye sifa ya kusajili day care fanya hivyo Ila mie sikua nausajiri kwa sababu Kuna vigezo sikukamilisha vya daycare ikabidi nitumie children learning center mpk Leo ipo hivyo mwaka wa name huu though ndo nataka kusajili sasa.
 
Biashara yoyote ya kukusanya watu sehemu moja, ina risk kubwa; kwa sababu binadamu anachangamoto nyingi za kiafya, ikitokea siku mmojawapo akazima/ kukata network akiwa kwako.....hutotamani hii biashara.
 
Kama unataka kufanya kitu alafu una mawazo kama haya hutafanikiwa!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Biashara yoyote ya kukusanya watu sehemu moja, ina risk kubwa; kwa sababu binadamu anachangamoto nyingi za kiafya, ikitokea siku mmojawapo akazima/ kukata network akiwa kwako.....hutotamani hii biashara.
Duuuh,kwa mawazo haya umetisha sana mzee
 
Kama una eneo lenye sifa ya kusajili day care fanya hivyo Ila mie sikua nausajiri kwa sababu Kuna vigezo sikukamilisha vya daycare ikabidi nitumie children learning center mpk Leo ipo hivyo mwaka wa name huu though ndo nataka kusajili sasa.
Hivi sifa za eneo zipoje?

Daa nishachanganya madesa nahisi, hivi Day care center na Nursery tofauti nin

Vigezo hasa ni nin
 
Watu wanasomea hayo, umesomea na una vyeti?
Mbona mko kukatishana tamaa aisee, huwezi kumweleza kiungwana akaelewa? Sometime hata humu JF kuna nyie wa wachawi aisee!!!
I thought ungemweleza in positive way kwamba yeye anaweza kuwa kama owner, akapata watendaji kuhudumu hapo!!
 
Kama una eneo lenye sifa ya kusajili day care fanya hivyo Ila mie sikua nausajiri kwa sababu Kuna vigezo sikukamilisha vya daycare ikabidi nitumie children learning center mpk Leo ipo hivyo mwaka wa name huu though ndo nataka kusajili sasa.
Gharama zakusajili Children Learning Center na Daycare ni bei gani wanachaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…