Dayna Nyange azua gumzo na picha za vichupi mtandaoni, adai zinamsaidia kimuziki

Huko nikujiuza tu hakuna ubishi , haiwezekani mwanamke ujizalilishe namna hiyo utadhani upo chumbani kwako
 
Yaani sura kama jipu, alafu anatuambia kala ndio nani. Ashukuru mapato yake ya hivyo virecords yanamsaidia kidogo kurekebisha sura yake kwa makeup.
 
Mkuu ahsante sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bro umeua
 
Baada ya kukata zuga unamshtua konda ashushe kituo kinachofata, kama hutashuka na wanaume watatu kati ya hao saba kuna mmoja ataomba muendelee na safari kituo kingine atakulipia nauli ya kurudi!πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…