Dayna Nyange azua gumzo na picha za vichupi mtandaoni, adai zinamsaidia kimuziki

Huko nikujiuza tu hakuna ubishi , haiwezekani mwanamke ujizalilishe namna hiyo utadhani upo chumbani kwako
 
Yaani sura kama jipu, alafu anatuambia kala ndio nani. Ashukuru mapato yake ya hivyo virecords yanamsaidia kidogo kurekebisha sura yake kwa makeup.
 
BRAZA....
Kama unajihisi umeboreka na upo kwenye daladala alafu hamna anaekujali wala kukusemesha....
DO THIS...
Chukua sim yako jifanye unapga namba flan afu sema maneno haya.....
"Samahani mpenzi,siwezi kuja kwako maana nipo kwenye daladala moja na mmeo...I LOVE U"
THEN zuga unakata simu....
I swear bro...
Kuna wanaume zaid ya saba watakukazia sura lakini Kuna mjnga lazma atakuuliza
"Samahani kaka,naomba niangalie namba inaishia na ngapi?"[emoji844]
Mkuu ahsante sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bro umeua
 
BRAZA....
Kama unajihisi umeboreka na upo kwenye daladala alafu hamna anaekujali wala kukusemesha....
DO THIS...
Chukua sim yako jifanye unapga namba flan afu sema maneno haya.....
"Samahani mpenzi,siwezi kuja kwako maana nipo kwenye daladala moja na mmeo...I LOVE U"
THEN zuga unakata simu....
I swear bro...
Kuna wanaume zaid ya saba watakukazia sura lakini Kuna mjnga lazma atakuuliza
"Samahani kaka,naomba niangalie namba inaishia na ngapi?"⁉
Baada ya kukata zuga unamshtua konda ashushe kituo kinachofata, kama hutashuka na wanaume watatu kati ya hao saba kuna mmoja ataomba muendelee na safari kituo kingine atakulipia nauli ya kurudi!🙂 🙂 🙂
 
BRAZA....
Kama unajihisi umeboreka na upo kwenye daladala alafu hamna anaekujali wala kukusemesha....
DO THIS...
Chukua sim yako jifanye unapga namba flan afu sema maneno haya.....
"Samahani mpenzi,siwezi kuja kwako maana nipo kwenye daladala moja na mmeo...I LOVE U"
THEN zuga unakata simu....
I swear bro...
Kuna wanaume zaid ya saba watakukazia sura lakini Kuna mjnga lazma atakuuliza
"Samahani kaka,naomba niangalie namba inaishia na ngapi?"[emoji844]
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom