Dayna Nyange azua gumzo na picha za vichupi mtandaoni, adai zinamsaidia kimuziki

Dayna Nyange azua gumzo na picha za vichupi mtandaoni, adai zinamsaidia kimuziki

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mwanamuki kutokea hukooo mji kasoro bahari, Dayna Nyange alizua gumzo na vipicha vya nusu uchi anavyotupiaga mtandaoni ila alipoulizwa na mtangazaji wa EATV alidai picha hizo zinamsaidia sana kimuziki kwa kuwa mashabiki wanapenda kuona vitu hivyo
Pia alipoulizwa Kalah Jeremiah ambaye alikuwa mtu wake wakaribu anamchukuliaje mwanamuziki huyo alidai hamjui msanii huyo na watangazaji waache kumpa kiki

 
Itakuwa Kujiuza Kununulika Na Kutamaniwa Kwa Kazi Zake Lakini Simaanishi Vingine
 
Mi nafikiri wanaume wanaochukia picha kama hizi wanakasoro kidogo. Kinadada msiogope muwe mnatuwekea tu hizi picha sisi wengine tunazipenda
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mi nafikiri wanaume wanaochukia picha kama hizi wanakasoro kidogo. Kinadada msiogope muwe mnatuwekea tu hizi picha sisi wengine tunazipenda
Me pia nawashangaa wanaochukia hizo picha yaani utafikiri watapoteza macho kwa kuangalia hizo [emoji160]
 
BRAZA....
Kama unajihisi umeboreka na upo kwenye daladala alafu hamna anaekujali wala kukusemesha....
DO THIS...
Chukua sim yako jifanye unapga namba flan afu sema maneno haya.....
"Samahani mpenzi,siwezi kuja kwako maana nipo kwenye daladala moja na mmeo...I LOVE U"
THEN zuga unakata simu....
I swear bro...
Kuna wanaume zaid ya saba watakukazia sura lakini Kuna mjnga lazma atakuuliza
"Samahani kaka,naomba niangalie namba inaishia na ngapi?"⁉
 
Back
Top Bottom