Kuanzia April 6–11, Nairobi itaingia water shutdown baada ya tangazo la Nairobi City Water and Sewerage Company.
Lakini kwa mwananchi wa kawaida, hii sio tu upgrade ni struggle:
Je, hii ni sacrifice worth it ama ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida?
Source: Citizen digital
Lakini kwa mwananchi wa kawaida, hii sio tu upgrade ni struggle:
- Wengi hawana uwezo wa ku-store maji ya siku tano
- Bei ya maji inaweza panda haraka
- Small hustles (vibanda, salons) zitakosa income
- Hygiene issues zinaweza ongezeka
Je, hii ni sacrifice worth it ama ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida?
Source: Citizen digital