O OwadeKuya JF-Expert Member Joined Jan 28, 2026 Posts 535 Reaction score 312 Apr 4, 2026 #1 Kuanzia April 6–11, Nairobi itaingia water shutdown baada ya tangazo la Nairobi City Water and Sewerage Company. Lakini kwa mwananchi wa kawaida, hii sio tu upgrade ni struggle: Wengi hawana uwezo wa ku-store maji ya siku tano Bei ya maji inaweza panda haraka Small hustles (vibanda, salons) zitakosa income Hygiene issues zinaweza ongezeka Johnson Sakaja anasema ni long-term solution, but kwa ground ni siku tano ngumu. Je, hii ni sacrifice worth it ama ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida? Source: Citizen digital
Kuanzia April 6–11, Nairobi itaingia water shutdown baada ya tangazo la Nairobi City Water and Sewerage Company. Lakini kwa mwananchi wa kawaida, hii sio tu upgrade ni struggle: Wengi hawana uwezo wa ku-store maji ya siku tano Bei ya maji inaweza panda haraka Small hustles (vibanda, salons) zitakosa income Hygiene issues zinaweza ongezeka Johnson Sakaja anasema ni long-term solution, but kwa ground ni siku tano ngumu. Je, hii ni sacrifice worth it ama ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida? Source: Citizen digital
City Of Lies Platinum Member Joined Sep 8, 2011 Posts 6,073 Reaction score 7,997 Apr 4, 2026 #2 Hatari sana.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 5, 2026 #3 Poleni sana majirani... Cc: Mahondaw