Daz Baba anaitaji msaada wa haraka....Iangaliwe namna ya kumsaidia

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Huyu ndio yule Daz Baba alioimba umbo namba nane, natafuta wife na elimu dunia.

 
Adios Daz Baba, ni uzuni kwa ndugu na masela, watabaki wakikuombea ulazwe pema peponi kamanda

 
Last edited by a moderator:
Hii sijawahi iona, mtu anakonda hadi kichwa
 
Hatari....!! Ray c hajamuona huyu.?
 
Daz Baba..seriously??utumiaji wa madawa ya kulevya ni hatari sana
 
Duh! Ila bado ana swaga za kisanii! Mwenye picha yake kabla hajawa hivi alivyo please tupia hapa tulinganishe!
 
Nakumbuka Ferooz alimfukuza kundini huyu mshikaji sababu ya kula unga....Leo hii feruz nae gari imewaka inakaribia kuzima kama daz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…