Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
mkuu wa kaya hana taarifa?
Kwa nini asimsaidie na huyu??
Anasaidia mahali ambapo atasaidiwa na yeye akihitaji msaada baadae...
ref. kauli yake "ukitaka kula lazma uliwe"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wa kaya hana taarifa?
Kwa nini asimsaidie na huyu??
take easy bladaa sio jani la kijani,ni unga na stress za maisha,tokea lini mvuta kaya akawa kicha kama ujui nyamaza mjomba,Nyerere,Kenyatta,aire Selassie ai,Marcus Garvey,Che Guevara,Malcolm x,obama,mbona sio vichaa acha story za vijiweniKwani kuna jingine jipya zaidi,Ya mibangi na mi cocaine wanayoibwia,hafu wanajifanya hajaaga kwao 'aende akafanyiwe tambiko'.SASA tambiko na Bangi wapi na wapi?
take easy bladaa sio jani la kijani,ni unga na stress za maisha,tokea lini mvuta kaya akawa kicha kama ujui nyamaza mjomba,Nyerere,Kenyatta,aire Selassie ai,Marcus Garvey,Che Guevara,Malcolm x,obama,mbona sio vichaa acha story za vijiweni
Ha ha ha ha long time bwana ilimaliza kila kitu!aminia nduguKichaa kimempanga Jery,
baada ya kuvuta mneri
wengi walidhani karogwa na jiran
kumbe mibangi imempanda kichwani.....