Daz Baba: Nina uwezo wa kutengeneza bunduki

Ni mtu Mkubwa huyo....zaidi ya Wasanii..

Serikali imuangalie, asije chukuliwa na Wauwaji wa Kibiti na Rufiji.

Pia wangemuomba awape "SAMPO" ya moja ya kazi zake (Bunduki)
 
Ashatengeneza ngapi mpaka sasa? Aliziuza au kuzigawa kwa nani?
 
Ni mtu Mkubwa huyo....zaidi ya Wasanii..

Serikali imuangalie, asije chukuliwa na Wauwaji wa Kibiti na Rufiji.

Pia wangemuomba awape "SAMPO" ya moja ya kazi zake (Bunduki)
Jamaa kadai yuko fiti ile mbaya anaomba selikali ya ngosha impe saport
 
Ndo huyo huyo mkuu
Duhh.....
Kama ndio huyo, basi IGP amkamate kwanza, maana tayari anaonekana ni muhalifu wa mihadarati.
Baada ya hapo ndipo Magufuli amsaidie kufanya kiwanda cha hizo silaha
 
ohoooo gobore ndio bunduki ? maskin watamchukuwa na ndio itakuwa ivo
 
picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…