Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau ,naomba kuuliza ni makampuni/mashirika/wizara gani hapa Tanzania yanayotumia;
3.novell
.........
naomba jina la ofisi yako ,tunaweza fanya shughuli nyingi pamoja
shida yangu ni kujua tu kama kuna kampuni zinatumia hizo maana naona Red hat linux and oracle ndo zinatumika zaidi,ni kutaka kujua tu.....bila shaka nimejibu.....
Ktk ofisi yetu tunatumia novell kwa several services na Groupwise ktk email.
Shida yako nini Vitendo???