youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Hiyo ni sign ya inferiority kwa majiran zetu,hata kama kazi mbovu ila wanazipa mapokezi makubwa..Pasingelalika ingekua ni kelele tu kama tupo kwenye stoo ya vyuma chakavu
Kweli kabisa, King atabaki kuwa King kwa miaka billion 9 haidhuru hata kama hana cha kujivunia kwenye huo u-King wake zaidi ya kuendelea kujivunia collabo ya ahsante Airtel ambayo haikumpeleka popote!!!
NB: Usisahau kumpigia Davido manake dah, mna muda wa kutosha kibao... manake ukishapiga kwenye category moja ya East Africa tu mnakuwa free tofauti na sie wengine... mara utoke category hii, uhamie zile za magwiji wa Afrika, urudi kule.... yaani hadi zingine tunazisahau, afanaleki wallah!
VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!!
Acha bhana mr. genius!!! Enhee, hebu nipe stori za huyo GDP mara moja!! Ina matatizo gani kiasi kwamba haikui na kwa sasa ina umri gani? Ishaanza shule lakini, au bado? Yaani hii dunia hadi tunaiacha tunakuwa tumepitia mitihani mingi, dah! Mpe pole mama ake GDP, yote hiyo ni mitihani tu.wewe ni punguani,,ndio maana GDP haikui kwani raia kama wewe mnarudisha nyuma taifa hili,,ukikua utaacha!!une cocote