D'banj amlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya nae collable

D'banj amlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya nae collable

Nakumbuka kuna mdau aliandika uzi umu unaosema kuwa "Diamond kila anachogusa kinageuka kuwa Almasi"

Now naendelea kuona the relevance kati ya ule uzi na haya yanayoendelea kwa chibu...kweli anaegawa riziki ni mola!
 
Diamond anajituma habweteki na mafanikio aliyonayo. He always want to be the best kama Ronaldo
 
Kweli kabisa, King atabaki kuwa King kwa miaka billion 9 haidhuru hata kama hana cha kujivunia kwenye huo u-King wake zaidi ya kuendelea kujivunia collabo ya ahsante Airtel ambayo haikumpeleka popote!!!

NB: Usisahau kumpigia Davido manake dah, mna muda wa kutosha kibao... manake ukishapiga kwenye category moja ya East Africa tu mnakuwa free tofauti na sie wengine... mara utoke category hii, uhamie zile za magwiji wa Afrika, urudi kule.... yaani hadi zingine tunazisahau, afanaleki wallah!

VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!!

wewe ni punguani,,ndio maana GDP haikui kwani raia kama wewe mnarudisha nyuma taifa hili,,ukikua utaacha!!une cocote
 
wewe ni punguani,,ndio maana GDP haikui kwani raia kama wewe mnarudisha nyuma taifa hili,,ukikua utaacha!!une cocote
Acha bhana mr. genius!!! Enhee, hebu nipe stori za huyo GDP mara moja!! Ina matatizo gani kiasi kwamba haikui na kwa sasa ina umri gani? Ishaanza shule lakini, au bado? Yaani hii dunia hadi tunaiacha tunakuwa tumepitia mitihani mingi, dah! Mpe pole mama ake GDP, yote hiyo ni mitihani tu.
 
Back
Top Bottom