D'banj amlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya nae collable

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Muimbaji mkubwa wa Nigeria, D’Banjamemlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya naye collabo. Kokomaster amesema kuwa toka walipokutana na Diamond walizungumza na kukubaliana kufanya collabo lakini amekuwa akimpiga chenga mpaka sasa.

Star huyo ambaye aliibuka na tuzo ya ‘MAMA Evolution’ katika MTV MAMA 2015, ameongeza kuwa kabla mwaka huu haujaisha anaamini collabo hiyo itakuwa tayari imefanyika.

Diamond ametoa sababu za kuchelewa kufanya collabo na D’Banj;

“Tulikutana kule kwenye Do Agric tukafanya Cocoa na Chocolate, tukatakiwa kufanya nyimbo ya mimi na yeye lakini nikaogopa ukianza na msanii mkubwa sana itakuwa kurudi tena itakuwa tabu lazima uanze kwa ngazi kwa ngazi kwa ngazi ili kesho na kesho kutwa ukitoa nyimbo uonekane unazidi kupanda, sio unafanya nyimbo na mkubwa halafu kesho unashuka, nafikiri ndio ikawa sababu pia nyimbo yangu ya kwanza sikuweza kufanya na yeye ya kwanza.” alisema Diamond kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm.

Chanzo: Bongo5

Audio link

http://m.audiomack.com/song/sadock/dbanj-akielezea-jinsi-anavyoitafuta-collabo-na-diamond
 
ImageUploadedByJamiiForums1437646925.343450.jpg
 
Mkuu Kidingi,

Jana nilimsikia D'Banj alivyokuwa analialia... kalalamika kishenzi na ingawaje request yenyewe ndani yake kuna maeneo ameingiza kibri cha u-superstar na u-legendary, kwa heshima yake, Chibu angefanya tu kama D'Banj alivyotaka! Kwa Waafrika, mkubwa hakosei... ampe tu heshima yake! Na mambo ya tamaduni bhana, unaweza kukuta kwa huko kwao, ndiyo lugha ya kuomba hiyo; sawa na Mkenya ambapo angesema "lete chakula" Mtanzania atasema "naomba chakula!" wakati mtu analipa pesa yake lakini bado "anaomba!"

D'Banj: "So, you tell him, he'd make sure... he fix it all and in "home" he announces it on Twitter so, we catch him.. but for me, am D'banj and he's Diamond and he's great talent and is someone who put East Africa on the map....!" Kwenye bold D'Banj akionesha msisitizo!!! But jibu la Diamond, dah, lilikuwa very matured response to the point, hata D.Banj mweneyewe angeelewa, bichwa lingezidi kutanuka!
 
Last edited by a moderator:

Kweli mkuu nimepata kuisikiliza ilikuwa poa sana hasa niliposikia itatoka kabla ya mwaka kuisha..

Afu hata hivyo walikuwa pamoja mtvmama nikashangaa kuona Dbanj anampampa sifa dangote oooh level zake inatakiwa aanze kufanya collable na wakina drake, Ti, blabla nikajuwa tu anamuelewa chibu huyu...
 
Wanaojua jambo hawana sababu ya kuweka figisu figisu; wataongea uhalisia bila kupinda maneno! Sio siri, nilipokuwa nasikiliza ile clip ya D'Banj sikutarajia kama mwanamuziki mkubwa kama yeye angejishusha kiasi kile na kuelezea wazi wazi ni namna gani bado anahitaji collabo na Diamond!!!

Nakumbuka mwaka jana Chibu alipokuwa South Africa na kutangaza msululu wa wasanii wanaoimba collabo na yeye, kama kawaida yao; watu wakasema anatafuta kick lakini few months later ikaja kudhihirika baada ya ngoma moja baada ya nyingine kuanza kudondoka!
 
Mkuu Kiding mbona link umeitoa? Huenda wengine wangependa kusikiliza... anyway, nairudisha hii hapa kwahiyo unaweza kui-copy na kuirudishia hapo juu!!!
 
Last edited by a moderator:
Wanaojua jambo hawana sababu ya kuweka figisu figisu; wataongea uhalisia bila kupinda maneno! Sio siri, nilipokuwa nasikiliza ile clip ya D'Banj sikutarajia kama mwanamuziki mkubwa kama yeye angejishusha kiasi kile na kuelezea wazi wazi ni namna gani bado anahitaji collabo na Diamond!!!

Nakumbuka mwaka jana Chibu alipokuwa South Africa na kutangaza msululu wa wasanii wanaoimba collabo na yeye, kama kawaida yao; watu wakasema anatafuta kick lakini few months later ikaja kudhihirika baada ya ngoma moja baada ya nyingine kuanza kudondoka!

Very true mkuu cha tuzisubiri, afu zinazokuja ndio za moto zaidi

+ Dibanj
+ AKA
+ Mafikizolo
+ Fally ipupa
+ Davido

All featuring Diamond nooooma sana

Mwezi wa kumi hivi ndio tunatoa ya kwetu ft. Psquare
 
Ni sheedah, nilivyoona hii heading nilijua kick za kijana wetu, kama ni kweli basi Diamond noma. Dbanj kafanya kazi hadi na kina Kanye West halafu Leo aje kushobokea kollabo nawe? Diamond unazali aisee
 
Mkuu kende, sometime na mimi ni kiazi kweli kweli! Sio siri, ile jana walivyotoa intro sikutaka kuamini na nikasema wazi pasipo na sauti, sitaamini kamwe kwamba D'Banj alikuwa anamwaga chozi la mtu mzima!!!! Baada ya kumsikia sasa, nikachoka!
 
Last edited by a moderator:
Dah sikutaka kusema hii kitu ila nimejitahidi niseme weeeeeee nimeshindwa...

HIVI hii habari ingekua inamhusu bwana tembo yaani D'banj ndio kamrequest bwana tembo, pangetosha kweli?
 
Ahahahahahaha!!ingekuwa upande wa pili sana hii habari mama weeeee tusingelala!!!go goo gooo chibuuu
Umeona enh? Hii habari ingawaje jana niliisikia wakati ndo inatolewa, wala sikuhangaika nayo... ndo tatizo la kuzoea mambo makubwa makubwa haya.....
 
Very true mkuu cha tuzisubiri, afu zinazokuja ndio za moto zaidi

+ Dibanj
+ AKA
+ Mafikizolo
+ Fally ipupa
+ Davido

All featuring Diamond nooooma sana

Mwezi wa kumi hivi ndio tunatoa ya kwetu ft. Psquare
Hiyo inaitwa "la tragédie du monde...."
 
Very true mkuu cha tuzisubiri, afu zinazokuja ndio za moto zaidi

+ Dibanj
+ AKA
+ Mafikizolo
+ Fally ipupa
+ Davido

All featuring Diamond nooooma sana

Mwezi wa kumi hivi ndio tunatoa ya kwetu ft. Psquare

hizi sifa sasa ange mtafutia chansi ya kolabo nuhu mziwanda anapigwa pigwa tu huku na shilole amsaidie aisee na yeye atoke!
 
Mkuu kende, sometime na mimi ni kiazi kweli kweli! Sio siri, ile jana walivyotoa intro sikutaka kuamini na nikasema wazi pasipo na sauti, sitaamini kamwe kwamba D'Banj alikuwa anamwaga chozi la mtu mzima!!!! Baada ya kumsikia sasa, nikachoka!

Dbanj ni msanii mkubwa sana Africa mwenye mafanikio makubwa both ya sanaa na ya kimkwanja, kuonyesha uhitaji wa collabo na Diamond ni heshima kubwa kwa kijana wetu, asije kuiacha hiyo fursa aisee!
 
Last edited by a moderator:
Umeona enh? Hii habari ingawaje jana niliisikia wakati ndo inatolewa, wala sikuhangaika nayo... ndo tatizo la kuzoea mambo makubwa makubwa haya.....

Yaani watu wana Ugwadu wale sijawahi kuonaa!!ila mie nafurahi tu jinsi gani wanadhihirisha UNAFIKI wao

Oooh kiba hapendi kiki wala collabo na wanaija "kumbe wanajihashua tu,wanapenda sana kiki na sifa ila sema hawakua na cha kuonyesha"
 
Diamond kweli mtoto wa kiswazi
Baada davido kumtaji kiba ndio akaona na yeye aiachie hii

Sasa wapenzi wakiba majigambo ya davido anamuomba kiba kolabo yote kwishaaa
 
Yaani watu wana Ugwadu wale sijawahi kuonaa!!ila mie nafurahi tu jinsi gani wanadhihirisha UNAFIKI wao

Oooh kiba hapendi kiki wala collabo na wanaija "kumbe wanajihashua tu,wanapenda sana kiki na sifa ila sema hawakua na cha kuonyesha"
Huyo Michael Jackson mwenyewe alikuwa anafanya collabo itakuja kuwa Kiba! Mtu anatembea kwa mguu toka Ubungo hadi Posta halafu anasingizia anafanya mazoezi kumbe hana nauli!!!!
 
Back
Top Bottom