Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia sakata la madereva wa malori ya mchanga kugoma kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na Halmashauri ya Mji wa Handeni.