Superbrand Afrika Mashariki 😀,mkuu WA mkoa kashajichanganya huyu ...Bye byeMkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia sakata la madereva wa malori ya mchanga kugoma kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na Halmashauri ya Mji wa Handeni.
Waandishi hawa hawa machawaWaandishi wakikuamulia hutoboi muache tu
Lissu anasemaje?Huyu DC ni akili zero!
Yeye atoe habari za kukanusha habari za ITV, otherwise ana ingilia uhuru wa habari!