Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wananchi Mjini Babati mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza Novemba 27 mwaka huu kupiga kura ili kuwa kuchaguavViongozi waadilifu watakao waongoza katika kuleta maendeleo, huku wakitakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa.
Akizungumza na wananchi, Mkuu wa wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda amewataka vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kuwachaguwa Viongozi wanaowahitaji kwakuwa kura yako ni Fyucha Kitaa.