CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,923
Wakati akicheza netiboli (akiitwa Elizabeth Chalamila wakati huo) alikuwa burudani kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwanamke sijui alipewa hiyo nafasi kwa kuangalia vigezo gani. Hivi majuzi aliamuru diwani awekwe rumande kwa kuchelewa kwenye kikao;
DC amsweka rumande diwani
Chanzo: DC amsweka rumande diwani
Wakati akicheza netiboli (akiitwa Elizabeth Chalamila wakati huo) alikuwa burudani kubwa sana
Kivipi mkuu?unaweza kufafanua kidogo?
Umewahi kuona mechi ya netiboli? Enzi hizo Nje Cup pale Railway Club Gerezani......mapaja nje nje
Mkuu hii picha hapa ina-uhusiano gani na mada. Au umechanganya madesa!!!
[h=2]Nabii Mke Flora Peter anaishi Mbezi Beach DSM bila Mume baada ya Kutelekezwa!!!!![/h] http://strictlygospel.wordpress.com/2011/12/07/nabii-flora/Kwa hiyo amepata u DC baada ya kutembeza u.c.h.i wake kwa huyu? Ndiyo maana yule kocha wa Twiga Stars ameammua kuishi kivyake
Nabii Flora akiwa kanisani kwake
Huyu Nabii Mke naye amekimbiwa na mume kwa Tabia kama za DC Betty MkwassaUmewahi kuona mechi ya netiboli? Enzi hizo Nje Cup pale Railway Club Gerezani......mapaja nje nje
Wakati akicheza netiboli (akiitwa Elizabeth Chalamila wakati huo) alikuwa burudani kubwa sana
Hivi
huyu Betty mwenyewe ana mtoto hata mmoja kweli? mwenye nyeti atujuze
sababu nina wasiwasi mkubwa sana.