DC Gondwe kupinga hukumu ya mahakama ni kukata rufaa sio kuchongea kwa rais

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
791
Reaction score
621
Wadau nimeshangazwa na kitendo cha Mkuu Wa Wilaya ya Handeni Bw.Gondwe kumchongea Hakimu aliyehukumu kesi ya mfugaji vs mkulima Kwa Mh.Rais kuwa eti Hakimu anawapendelea wafugaji.Matokeo yake Hakimu huyo amehamishwa.Nilitegemea Mkuu Wa wilaya ni Mwenyekiti Wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya Sheria anazijua.Mahakama ikitoa HUKUMU kama hujaridhika ni kukata RUFAA tu sio KUCHONGEA Kwa muhimili mwingine .Nilitegemea Mkuu Wa wilaya angewashauri wakulima wakate RUFAA badala ya kitendo cha KUCHONGEA alichokifanya.Je atakuwa anachongea kila kesi ambayo mkulima anashindwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni chama ambacho yeye ni mwanachama. Huwezi kuwa kule ukabaki salama!
 
Wadau nimeshangazwa na kitendo cha Mkuu Wa Wilaya ya Handeni Bw.Gondwe kumchongea Hakimu aliyehukumu kesi ya mfugaji vs mkulima Kwa Mh.Rais kuwa eti Hakimu anawapendelea wafugaji.Matokeo yake Hakimu huyo amehamishwa.Nilitegemea Mkuu Wa wilaya ni Mwenyekiti Wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya Sheria anazijua.Mahakama ikitoa HUKUMU kama hujaridhika ni kukata RUFAA tu sio KUCHONGEA Kwa muhimili mwingine .Nilitegemea Mkuu Wa wilaya angewashauri wakulima wakate RUFAA badala ya kitendo cha KUCHONGEA alichokifanya.Je atakuwa anachongea kila kesi ambayo mkulima anashindwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine kuna hukumu za maneno na hakuna kumbukumbu sasa utakataje rufaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom