Wiki 3 zilizopita nilisikiliza kisa Cha huu mto Kawe na wakazi wake, changamoto hapa wanachimba Hadi baadhi ya nyumba zimekwisha bomoka (kuanguka kabisa) hivyo inabidi kusimama kwa muda ila wachimbaji hawataki Tena walimfurumusha mjumbe na mapanga baada ya kujaribu kuwazuia wasichimbe mchangaWakiacha chimba mto unajaa mchanga, serikali ndiyo imeruhusu, hata Jangwani serikali ndiyo imeruhu wachime
Police kawe watakuwa wanadakishwa hela hapoWiki 3 zilizopita nilisikiliza kisa Cha huu mto Kawe na wakazi wake, changamoto hapa wanachimba Hadi baadhi ya nyumba zimekwisha bomoka (kuanguka kabisa) hivyo inabidi kusimama kwa muda ila wachimbaji hawataki Tena walimfurumusha mjumbe na mapanga baada ya kujaribu kuwazuia wasichimbe mchanga