DC Hassan Bomboko madada poa umewamaliza Dar?

Oya Goba chimbo liko wap mkuu, Kuna kipindi walifungua tawi lao pale Lastanza, ila halikudumu nafkiri ni kutokana na uhaba wa wateja
 
Mbezi mwisho kuna bar moja inaitwa Lubumbashi pale huduma ni 24/7 afu pembeni ya bar kuna Guest house kibao muda wote zimejaa coz malaya wanashikilia vyumba
 
Oya Goba chimbo liko wap mkuu, Kuna kipindi walifungua tawi lao pale Lastanza, ila halikudumu nafkiri ni kutokana na uhaba wa wateja

Sipendi sana kushare vichocheo vya dhambi maana nitasaidia kuangamiza, baadala yake nakushauri uachane na hizo mambo.

Nina dhambi nyingi sana, namuomba sana Mwenyezi Mungu anipe wepesi na kunitoa kabisa huko na hata nipate mke mwema Mzee mwenzangu maana nina watoto kibao Kila kona ya Dunia different races.

Wapo watu wameoa wake wazuri/waelewa/smart nk wanaenjoy sana maisha na hata hawawezi kuchepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…