- Thread starter
- #41
Acha hizo! Unatoa ushauri baada ya kula maisha na kufumua mabinti wa watu!Sipendi sana kushare vichocheo vya dhambi maana nitasaidia kuangamiza, baadala yake nakushauri uachane na hizo mambo.
Nina dhambi nyingi sana, namuomba sana Mwenyezi Mungu anipe wepesi na kunitoa kabisa huko na hata nipate mke mwema Mzee mwenzangu maana nina watoto kibao Kila kona ya Dunia different races.
Wapo watu wameoa wake wazuri/waelewa/smart nk wanaenjoy sana maisha na hata hawawezi kuchepuka.