DC Hassan Bomboko madada poa umewamaliza Dar?

Acha hizo! Unatoa ushauri baada ya kula maisha na kufumua mabinti wa watu!
 
Acha hizo! Unatoa ushauri baada ya kula maisha na kufumua mabinti wa watu!

Hahahahaha hapana mkuu, ndio maana kuna kutubu sitaki kuongelea sana hayo nitachochea hisia za watu na kupelekea kufanya dhambi.

Tujikite zaidi kumuomba Mungu atufanyie wepesi kwenye utafutaji wetu wa ridhki, kwenye kumuabudu, atuepusha na dhulma, wale ndugu zetu viongozi wajali maisha ya watu na Ustawi wao na InshaAllah atujalie mwisho mwema pia.
 
Mbezi mwisho kuna bar moja inaitwa Lubumbashi pale huduma ni 24/7 afu pembeni ya bar kuna Guest house kibao muda wote zimejaa coz malaya wanashikilia vyumba
Acheni kutaja majina basi, Zomboko ataenda kusumbua watu.

Kuna chimbo kama unaenda malamba mawili, wanawake,(siwaiti malaya)ni wazuri sana pale halafu wanajitambua, huduma safi.
 

Biashara ya uchangudoa haiwezi kuisha maana wapo wanaokaa barabarani usiku na wengine wanauza online ,wengine wanauza sehemu za kazi yaani yeye anatafuta ajira hata ya laki kwa mweiz ili mradi aonekane anaenda kazini lakini huko kazini anakula vichwa.
 
H
ili andiko akiliona ...so funny
 
Thubutu yake Wakili msomi Peter Madeleka amemshika makende hawezi tena kurudia!
 
Nilipita majuzi sinza yaani kweupe , wanajificha ficha tu mmoja mmoja...DC endelea kukaza matokeo tunaona Tena makubwa
 
Wabunge walimkataza kuua soko lao, walimwambia waende kuburudika wapi wakirudi mjini?
 
Vita hii ni yetu sote wapenda maadili safi. Msimwachie mwenyewe, msimbeze, msimkatishe tamaa. Vita ya kupambana na makahaba pamoja na wateja wao haijawahi kuwa rahisi

Prostitution is the oldest profession in the world (Google that)
 
DC kabla hajafika mjini watu wasio na wake walikua wanaponea kwa Malaya. Leo anataka kuwaondoa Malaya, je waliokua wanaponea kwa Malaya wataponea wapi?
Sishangai huyu DC kua DC maana Al haj Nawanda alikua mkuu wa mkoa Tabora alipiga Vita Sana ulawiti kumbe yeye ndio wale wale Tena hata hela ya hotel Hana anatanyia kwenye gari.
 
Ni kama operation so inahitaji muda mrefu hata mwaka.. Force pia na elimu inaendelea kutolewa mpe walahu miezi Sita
 
Nenda Kinondoni kuna mabango yameandikwa hairuhusiwi kuuza milli.
 
We unawaona barabarani?
 
Kila kazi ina rushwa ya namna yake, kwa hiyo usikute analamba rushwa ya namna yake mpaka katulia...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…