Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Zote ni stara..Na za hao wasichana ndizo asilia. Mavazi hayo hutumika katika nchi zenye uhuru mkubwa wa kuabudi, zinazowaruhusu hata waislam kuzingatia bila vikwazo matakwa ya dini yao. Uhuru kama huo haupo Tanzania. Hata kama huyo DC na wafanyakazi wengine serikalini na katika sekta binafsi wangependa kuvaa hivyo wasingeruhusiwa kwa kisingizio kuwa serikali haina dini. Tunalishuhudia hata katika baadhi ya shule ambako mabinti wa kiislam hawaruhusiwi hata kuvaa km alivyovaa DC, manesi ndio usiseme...Lakini masista, masingasinga na wengineo kwao ni ruhsaaaa! undumilakuwili! wakivaa nikab ndio itakuwa balaa kubwa.
 
Hii nchi inaelekea pabaya sana......

Yaani watu wenye akili wanaacha kuongelea mambo ya maana (kijamii na kiuchumi) kama umeme na giza la kujitakia wanapoteza muda kujadili upuuzi kama huu wa hijab, ushungi, mitandio, viremba na baibui!!!

DC alikamatwa akipanga wizi wa kura, hilo halina ubishi...Katika purukushani za kumkamata kavuliwa viatu na ushungi...Pia hilo halina ubishi. Maadam kesi iko mahakamani, tuiachie mahakama iamue. Ila kwa kauli za viongozi wa dini, zinazoonesha kuwa wako kazini baada ya kulipwa vipande vya pesa, mwenendo wa kesi unawekwa njia panda!

Kama tunaendekeza dini katika mambo yasiyohitaji dini....Itakuwa bora dini zote zifutwe ili tuishi kama wa Tanganyika na Wazanzibar wa miaka ile kabla ya kuletewa haya mambo na wageni...Tena waliokuja kufanya biashara!
 
Reactions: EMT

Mkuu kama umenielewa ni vizuri, hayo mengine nenda jukwaa la dini. Mimi nina connection ya pande zote mbili yaani Uislam na Ukristo hivyo sioni haja ya kulumbana na pande zangu zote.
 
Yatajulikana mengi tuvute subira CDM watoe tamko
 

Kaka ni wapi kwenye koran kumeandikwa taratibu za ibada au swala waislamu hawana mathehebu na tofauti za ibada?
 
netwek haijakamata... ntajaribu tena badae
 
Naiona hapa clash of civilization aliyoitabiri Samuel Huntington. Badala ya itikadi sasa vita ni ya tamaduni katika jina la dini. Miaka ya sabini na themanini mwanzoni tungekua tunabishana kuhusu kama kweli mama fatuma joseph kimario ni mjamaa mwenzetu ama ni kupe. Lakini leo tunajadili kama ni mkristo ama muislamu na kwa hilo tunakaribia kutiana vidole machoni. Hahahahaha napenda hii ingawa ni mbaya sana
 
Sheheeee, shehe ubwabwa!!!! Njaa kali kazi hawataki, UNATEGEMEA NN?
 
Wamama wengi waki kiristo na kislamu upenda kuvaa ushungi au mtandio.kwanza kwa ajili ya urembo pili ni kujipa heshima mbele ya jamii usika.kuna wadada/mama wauni kabisa lakini wanava mtandio tumeshaona awa watu wengi wenye asili ya pwani wanava mtandio ata kama anaenda gesti na mume wa mtu sisi wakazi wa dar es salaam tunayajua ayo,wengine wanaficha mpaka uso wote lakini wanafanya mambo ambayo ayampendezi mungu pamoja na mwanadamu ukifika tmk utayaona ayo,Sio wote wanaova mavazi aina fulani basi ni watu fulani.Biblia imesema kuna wengine wameva ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.ushungi usije ukatusababishia tukavunja mshikamano wetu bure sisi sote ni ndugu waislamu/kristo/waindi/wapagani.
asante nawasilisha.
 
Ndugu bi fatuma john kimario ni mkristo mkatoriki ktk kanisa la bikira maria mama wa huruma mbezi beach dar es salaam,mume wake ni kiongozi mkubwa ktk kanisa.wanamiliki shamba kubwa la mifugo NGURUWE huko tegeta. Kwanini bakwata wanamfata fata wakati amekwisha badirisha dini na ameolewa na mkristo? Hanapenda kuvaa mitandio kama masista na sio ijabu.
 
ccm walifikiri wamepata sehemu ya kushika ila wameshindwa, mtandio wanaita hijabu.
 
Harafu hawa mashekh wanashindwa vipi kuitambua tofauti ya Mtandio na Hijab? Au pesa za CCM ziliwapofusha macho maana mpaka mnaiaibisha dini yenu au nyinyi mpo ki-Biashara zaidi.SIYO SIRI MNATUTIA AIBU SANA!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…