Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama umenielewa ni vizuri, hayo mengine nenda jukwaa la dini. Mimi nina connection ya pande zote mbili yaani Uislam na Ukristo hivyo sioni haja ya kulumbana na pande zangu zote.
Ndugu bi fatuma john kimario ni mkristo mkatoriki ktk kanisa la bikira maria mama wa huruma mbezi beach dar es salaam,mume wake ni kiongozi mkubwa ktk kanisa.wanamiliki shamba kubwa la mifugo NGURUWE huko tegeta. Kwanini bakwata wanamfata fata wakati amekwisha badirisha dini na ameolewa na mkristo? Hanapenda kuvaa mitandio kama masista na sio ijabu.
Naiona hapa clash of civilization aliyoitabiri Samuel Huntington. Badala ya itikadi sasa vita ni ya tamaduni katika jina la dini. Miaka ya sabini na themanini mwanzoni tungekua tunabishana kuhusu kama kweli mama fatuma joseph kimario ni mjamaa mwenzetu ama ni kupe. Lakini leo tunajadili kama ni mkristo ama muislamu na kwa hilo tunakaribia kutiana vidole machoni. Hahahahaha napenda hii ingawa ni mbaya sana
Kaka ni wapi kwenye koran kumeandikwa taratibu za ibada au swala waislamu hawana mathehebu na tofauti za ibada?
Ndugu bi fatuma john kimario ni mkristo mkatoriki ktk kanisa la bikira maria mama wa huruma mbezi beach dar es salaam,mume wake ni kiongozi mkubwa ktk kanisa.wanamiliki shamba kubwa la mifugo NGURUWE huko tegeta. Kwanini bakwata wanamfata fata wakati amekwisha badirisha dini na ameolewa na mkristo? Hanapenda kuvaa mitandio kama masista na sio ijabu.
Unafikiri masheikh hawali nguruwe? mbona wao ndio walaji kuzidi ht wakatoriki?Heheheee, hatimaye masheik wa Tanzania watetea mfuga nguruwe. Bila shaka na wao ni wala nguruwe!! Tuna uhakika gani kama si walevi pia? BAKWATA inaweza kuwa inaundwa na genge la wahuni fulani ambao hawajui kazi yao ni nini. Wanaendeshwa kwa misingi ya njaa kali. Hivi kila mwanamke anayejifunga kitambaa kichwani ni muislamu au kavaa hijabu?
Heheheee, hatimaye masheik wa Tanzania watetea mfuga nguruwe. Bila shaka na wao ni wala nguruwe!! Tuna uhakika gani kama si walevi pia? BAKWATA inaweza kuwa inaundwa na genge la wahuni fulani ambao hawajui kazi yao ni nini. Wanaendeshwa kwa misingi ya njaa kali. Hivi kila mwanamke anayejifunga kitambaa kichwani ni muislamu au kavaa hijabu?