Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ni kwa nini hawa wenzetu wanapenda kutumiwa hivi?Kampeni za udini hazijaanzia igunga, zilianza toka uchaguzi mwaka jana, kwa kuitumia redio imaan ya Morogoro
Na bado ...mtaumbuka mpake mkome....nani aliwaambia mkimbie shule..!Watanzania wenzangu hii hata kama huyo mama ni Mkiristo ndio anaruhusiwa kuvuliwa nguo zake? Mpaka sehemu zake za mwili wake maeneo ya tumboni yanabaki wazi.
Mafundisho ya Ukiristo na ya Bwana yesu yanakubali mwanamke kudhalilishwa?
Na ni kwa nini hawa wenzetu wanapenda kutumiwa hivi?
Na bado ...mtaumbuka mpake mkome....nani aliwaambia mkimbie shule..!
what! Yaani Waislamu nao wajitokeze kuupinga Uislamu!!Nyie waislamu kwa jinsi mnavyodanganywa na ccm kwa kutumwa na kutoa matamko kwa ajli ya matumbo yenu.........................................italigharimu taifa kwanbi inasemekana nyie kwa kila tamko mnalotoa jioni yake mnaenda kupokea posho zenu za pongezi kutoka ccm kwa kazi nzuri za kuanzisha,kujenga na kueneza udini nchini......kwali uislamu ni dini ya kinafiki sana..................raia wema wote wote wakristo na waislamu tuupinge uislamu kwani hauna faida yoyote kwa watz zaidi yta kuleta chuki , vita, kuendekeza uzembe, ulalamishi ktk jamii
Kwa nini umvue mtu nguo zake? Hapo tu ndipo mie Mkandara nashindwa kuelewa. Why do we condone people to strip others of their cloth?
Mnafiki wa kiume akifanya unafiki tutamvua suruwali? Na anaefanya mikutano ya chuki asiyevaa mtandio, tutamvua blouse?
Kwa sababu walikamatwa na mawakara wa chama tawala basi ni haki kutedewa vile, hata kama ni Waislam hakuna shida!!!!!!!!!!!

Tulia mama, unatumia nguvu nyingi sana.
Ok, kwahiyo tusema kweli mtandio umevuliwa katika purukushani za kumkamata na kumtoa asifanye kikao, kama picha zinavyoonyesha.
Je, unavyosema amenyanyaswa, na unavyosema chama cha siasa ndio kimemnyanyasa huyo mama, unatupilia mbali sababu za yeye kukamatwa?

Pili, unajua nguvu za namna hii zilikuwa zinahitajika sana wakati askari wa jiji walipokuwa wanawakamata akina mama na dada zetu kama kuku, wakiwabeba mzobe mzobe kuwapandisha kwenye malori, wakiwachania kaniki zao na kuwaacha watupu, HAMKUWEPO, kwa nini??kwasababu hawakuigusa dini wala itikadi zenu???. Au kwasababu they were SOME random women??