BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Kati ya 502648 kati ya ngapi?
Do hatariKati ya 502
Na ni mtumish wa Umma? Nahisi tuna katiba Mbovu kiliko hata ya Korea Kaskazini, make kote hata Rwanda bado katiba yao ni bora ukiilinganisha na ya Tanzania, na bado raia tuna kenua meno tu na joking nyingiDC JERRY MURO ASHINDA KWA KISHINDO KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM- TAIFA.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Cornel Muro anawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi kwa kumchagua kwa kishindo cha kura 648 kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.
#KaziInaendelea.
View attachment 2378646
Ulitaka awe mtumishi wa wapi?Na ni mtumish wa Umma?...