Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Jerry bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jerry bana
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.Wana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.
Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.
View attachment 860709
Ha ha ha!Dah mimi najiuliza kwanini matukio ya hivi hayanikuti.
Ndiyo maana nasubiri lije kutokea tuone mbio zangu zilivyo.Ha ha ha!
Mkuu ungesokomeza sumbwi la Tyson?