DC Jerry Muro: Watendaji wa vijiji wanamsubiri DC atoke ofisini akachome bangi wakati Rais Magufuli sisi alishatukataza

Anajaribu kuhamisha magoli...
Lile jiti lililong'oa vigogo inaonesha naye linamhusu...
 
Bangi inasaidia kuinua dushe kwa wale wenye shida na network (uhamithi)
 
Rais alisema shika wanakijiji ndiyo wabebe na kuchoma bangi kwahivi huyu muroo anamaana raid alitaka bangi iachwe??
Alipaswa kuomba radhi kwakutolishughulikia swala hilo nasio kusingizia raid alisema wasiishike.
Huyu hatokawia kutimuliwa uDC huyu bora aombe ruhusa akagombee ubunge hai
 
Shida ni kuwa Jerry Muro alienda huko arumeru kupambana na cdm, sasa wamewanyima cdm kufanya siasa, amejikuta hana jingine lolote analoweza. Hapo ndio ujue madaraka ya siasa za kishenzi hayalipi.
 
Hayo maeneo yote uliyotaja yanalima bangi miaka nenda rudi, na imekuwa ikikamatwa mara kibao, sasa tujiulize ni kweli kuwa wameshindwa kukomesha?
 
Yeye ndiye mwenye kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama Wilayani kwake hawezi kukwepa kikombe hicho.
 
Kwanini watu wanaendelea kùlima bangi wakati sheria/serikali imekataza? Je, inawezekana ina faida kubwa kuliko mazao mengine?
 
Inna acheni kulima bangi
 
Ganja Ni Nzuri sanaaa.. wanatakiwa waruhusu haraka! Wanakosea Sana kuitengenezea Vita kubwa hivi! Dunia inatuachaa! Wenzetu weupe waliotudanganya kua Bangi mbaya ili wafanikishe matamanio yao ya kibepari...leo wanaruhusu dawa(Ganja) na wananufaika pakubwa mno na uzalishaji wa Ganja, kwa matumizi ya tiba, meditation, mafuta ya kupaka na nywele, nguo hasa jeans ngumu kbs zitokanazo na zile nyuzi ngumu, vikapu imara nk...Tuwe huru Sasa na historia zetu tusitengenezeweee!!
 

Magogoni pale ndio wanaongoza, trillion za bangi zinalimwa pale, halafu wanatabia moja watu wakitoa taarifa juu ya ulimaji bangi, wanapotezwa, wanaokotwa huko coco beach, wengine wanaonekana eti wamejinyonga kwenye mti wa vijiji vya jirani wakati nyumbani kwake kuna miti mingi, ebu tusaidie huyu mkulima wa bangj atatumaliza kuna kipindi alimruhusu hadharani msaidizi wake awe Anavuta hata akivutia chooni sio mbaya, ili aweze kufanya maamuzi magumu, kada mwenzangu wa lumumba aka buku seven, tungeanza na huyu mkulima wa bangj pale magogoni, ingekuwa safi sana maana haiwezekani aruhusu wateja wake tena hadharani eti we vuta, ili aongoze mzuka.
 
inaharibu akili na maamuzi
Sio kweli, jitihada hizo zingewekwa kwenye pombe na unga kwani ndio vinaharibu afya, akili, maamuzi hadi uchumi wa family. Bange mnaisingizia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…