DC Jerry Muro: Watendaji wa vijiji wanamsubiri DC atoke ofisini akachome bangi wakati Rais Magufuli sisi alishatukataza

DC Jerry Muro: Watendaji wa vijiji wanamsubiri DC atoke ofisini akachome bangi wakati Rais Magufuli sisi alishatukataza

Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli.

Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi wa wilaya ya Arumeru kuhusiana na mashamba ya bangi yaliyogunduliwa wilayani humo.

Source ITV habari

My take; Sikumbuki madc kukatazwa na Rais Magufuli kuchoma mashamba ya bangi

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1500603

Muro anacheza naona hajui vema his duties & responsibilities kama DC. Inaonyesha hajui DC kazi zake ni zipi hivyo atatimuliwa asipokuwa makini
 
Kwa issue ya bangi ni kama mh rais aliipigia chupuo.
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa
Upo sahihi Wala hujakosea kwani alimwagiza waziri ni Prof. Mbarawa akavute bangi ya njombe!
 
Back
Top Bottom