DC Jerry Muro: Watendaji wa vijiji wanamsubiri DC atoke ofisini akachome bangi wakati Rais Magufuli sisi alishatukataza


Muro anacheza naona hajui vema his duties & responsibilities kama DC. Inaonyesha hajui DC kazi zake ni zipi hivyo atatimuliwa asipokuwa makini
 
Kwa issue ya bangi ni kama mh rais aliipigia chupuo.
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa
Upo sahihi Wala hujakosea kwani alimwagiza waziri ni Prof. Mbarawa akavute bangi ya njombe!
 
Upo sahihi Wala hujakosea kwani alimwagiza waziri ni Prof. Mbarawa akavute bangi ya njombe!
Na alimshauri avute kisirisiri ili awe mkali kidogo awanyooshe wakorofi hapo Wizara ya maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…